Karibu Mtwara Mjini

Mji wa Bandari, Biashara na Fursa za Maendeleo Kusini mwa Tanzania

Mji unaokua kwa kasi, uliopo kusini kabisa mwa Tanzania

Mtwara Mjini ni nini?

Mtwara Mjini ni Manispaa yenye mchanganyiko wa maisha ya kisasa na utulivu wa mji wa pwani. Ni mji muhimu kiuchumi kutokana na:

Bandari ya Mtwara

Bandari inayoboresha biashara za nje na ndani ya nchi.

Mradi wa Gesi

Mnazi Bay gas project inayochangia uchumi wa nchi.

Kilimo cha Korosho

Korosho na mazao mengine yanayostawisha uchumi.

Ni miongoni mwa miji michache Tanzania yenye fursa kubwa lakini ushindani mdogo.

Kwa nini Mtwara ni mji wa kipekee?

Faida za Mtwara

  • Mazingira tulivu na salama
  • Gharama nafuu za maisha
  • Umbali mfupi kati ya maeneo muhimu
  • Upatikanaji rahisi wa chakula cha baharini
  • Watu wakarimu na wachapakazi

Mtwara ni mji unaofaa kuishi, kufanya kazi na kuanzisha biashara.

Chakula maarufu

  • Wali wa nazi
  • Samaki wa kupaka
  • Kamba na pweza
  • Mihogo na ndizi

Ni mji unaokupa amani ya akili na muda wa kufikiria maendeleo yako.

Maeneo maarufu Mtwara Mjini

Bandari ya Mtwara

Uwanja wa Ndege

Mnazi Mmoja Hospital

Soko la Shangani

Stendi Kuu ya Mtwara

Uwanja wa Mashujaa

Fursa za Kiuchumi Mtwara

Mtwara ni soko lenye potential kubwa kwa:

Biashara za rejareja Huduma za afya na herbal Simu na vifaa vya teknolojia Urembo na salon Mafunzo na huduma za kidigitali Usafirishaji na logistics

Ni mji mdogo lakini wenye mzunguko mzuri wa pesa.

Mtwara Mjini – Mji wa Fursa Halisi

Mtwara si mji wa kelele, bali ni mji wa watu wanaofanya kazi kimya kimya na kujenga maisha yao.

Unatafuta Utulivu?

Mtwara ina mazingira ya amani na utulivu wa kipekee.

Biashara yenye ushindani mdogo?

Fursa nyingi bado hazijachukuliwa na wafanyabiashara.

Maisha ya gharama nafuu?

Gharama za kodi na maisha ni nafuu ikilinganishwa na miji mingine.

Basi Mtwara Mjini ni mahali sahihi kwako.

Mtwara, Tanzania